Monday, January 7, 2013

WANAFUNZI WA CHUO CHA UFUNDI STADI CHA TOP ONE INN WASHEREKEA KUHITIMU MAFUNZO


Baadhi ya wahitimu wakimsikiliza mgeni rasimi
Mkurugenzi wa Top One Inn Paschal Msigwa(kushoto)katikati mgeni rasimi katibu tawala wa wilaya Joseph Kapinga
Wadau wa Chuo cha Top One Inn















Ofisi ya mhasibu wa chuo Msamala Songea Tanzania fomu zinapatikana




 OFISI ya mkuu wa chuo cha TOP ONE INN pia fomu zinapatikana kwa ajili ya kujiunga na chuo kwa kozi mbalimbali fanya haraka kabla ya nafasi za masomo kujaa

TOP ONE INN VTC ya Songea Tanzania deals with providing Computer application for three month period course provided  Introduction to computer, microsoft word Microsoft Excel, Microsoft Access, Microsoft Publisher,Microsoft Power Point and Internet and Email.Fomu za kujiunga zinapatikana kwa  chuoni kwenye ofisi ya mhasibu wa chuo au muone moja kwa moja mkuu wa chuo cha TOP ONE INN VTC au piga simu zifuatazo +255754353672 AU +255784353672 ,email : toponeinnvtc@gmail.com au tembelea tovuti yetu  www.toponeinnvtcsongea.blogspot.c

TOP ONE INN VTC MAFUNZO YA SECRETARIAL MWAKA MMOJA


Baadhi ya vijana wa kike na wa kiume ambao wanapata mafunzo  katika chuo cha TOP ONE INN VTC.

Unayafahamu mafunzo yanayotolewa na TOP ONE INN VTC SONGEA



TOP ONE INN VTC inatoa mafunzo ya udereva



TOP ONE INN inatoa mafunzo ya kompyuta kwa miezi sita